Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
wakiandamana kuelekea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani "Mei Mosi" zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mecky Sadiki, . Sherehe hizo Kitaifa zilifanyika Mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment