Friday 24 September 2010

Barrack Obama hails Tanzania at the Millennium Development Goals Summit in New York.

United Nations Headquarters, New York, New York4:49 P.M. EDT     
THE PRESIDENT:  Good afternoon.  Mr. Secretary General, fellow delegates, ladies and gentlemen.In the Charter of this United Nations, our countries pledged to work for “the promotion of the economic and social advancement of all peoples.”  In the Universal Declaration of Human Rights, we recognized the inherent dignity and rights of every individual, including the right to a decent standard of living.  And a decade ago, at the dawn of a new millennium, we set concrete goals to free our fellow men, women and children from the injustice of extreme poverty.These are the standards that we set.  And today, we must ask:  Are we living up to our mutual responsibilities? I suspect that some in wealthier countries may ask, with our economies struggling, so many people out of work, and so many families barely getting by, why a summit on development?  And the answer is simple.  In our global economy, progress in even the poorest countries can advance the prosperity and security of people far beyond their borders, including my fellow Americans.When a child dies from a preventable disease, it shocks all of our consciences.  When a girl is deprived of an education or her mother is denied equal rights, it undermines the prosperity of their nation.  When a young entrepreneur can’t start a new business, it stymies the creation of new jobs and markets in that entrepreneur’s country, but also in our own.  When millions of fathers cannot provide for their families, it feeds the despair that can fuel instability and violent extremism.  When a disease goes unchecked, it can endanger the health of millions around the world. So let’s put to rest the old myth that development is mere charity that does not serve our interests.  And let’s reject the cynicism that says certain countries are condemned to perpetual poverty, for the past half century has witnessed more gains in human development than at any time in history.A disease that had ravaged the generations, smallpox, was eradicated.  Health care has reached the far corners of the world, saving the lives of millions.From Latin America to Africa to Asia, developing nations have transformed into leaders in the global economy.Nor can anyone deny the progress that has been made toward achieving certain Millennium Development Goals.The doors of education have been opened to tens of millions of children, boys and girls.  New cases of HIV/AIDS and malaria and tuberculosis are down.Access to clean drinking water is up.  Around the world, hundreds of millions of people have been lifted from extreme poverty.  That is all for the good, and it’s a testimony to the extraordinary work that's been done both within countries and by the international community.Yet we must also face the fact that progress towards other goals that were set has not come nearly fast enough.Not for the hundreds of thousands of women who lose their lives every year simply giving birth.Not for the millions of children who die from agony of malnutrition.  Not for the nearly one billion people who endure the misery of chronic hunger.This is the reality we must face -- that if the international community just keeps doing the same things the same way, we may make some modest progress here and there, but we will miss many development goals.  That is the truth.  With 10 years down and just five years before our development targets come due, we must do better. Now, I know that helping communities and countries realize a better future is not easy.  I’ve seen it in my own life.  I saw it in my mother, as she worked to lift up the rural poor, from Indonesia to Pakistan.  I saw it on the streets of Chicago, where I worked as a community organizer trying to build up underdeveloped neighborhoods in this country.  It is hard work.  But I know progress is possible.As President, I have made it clear that the United States will do our part.  My national security strategy recognizes development not only as a moral imperative, but a strategic and economic imperative.  Secretary of State Clinton is leading a review to strengthen and better coordinate our diplomacy and our development efforts.  We’ve reengaged with multilateral development institutions.  And we are rebuilding the United States Agency for International Development as the world’s premier development agency.In short, we’re making sure that the United States will be a global leader in international development in the 21st century.We also recognize, though, that the old ways will not suffice.  That’s why in Ghana last year I called for a new approach to development that unleashes transformational change and allows more people to take control of their own destiny.  After all, no country wants to be dependent on another.  No proud leader in this room wants to ask for aid.  No family wants to be beholden to the assistance of others.To pursue this vision, my administration conducted a comprehensive review of America’s development programs.  We listened to leaders in government, NGOs and civil society, the private sector and philanthropy, Congress and our many international partners.And today, I’m announcing our new U.S. Global Development Policy -- the first of its kind by an American administration. It’s rooted in America’s enduring commitment to the dignity and potential of every human being. And it outlines our new approach and the new thinking that will guide our overall development efforts, including the plan that I promised last year and that my administration has delivered to pursue the Millennium Development Goals.  Put simply, the United States is changing the way we do business.First, we’re changing how we define development. For too long, we’ve measured our efforts by the dollars we spent and the food and medicines that we delivered.  But aid alone is not development.  Development is helping nations to actually develop -- moving from poverty to prosperity.  And we need more than just aid to unleash that change.  We need to harness all the tools at our disposal -- from our diplomacy to our trade policies to our investment policies.Second, we are changing how we view the ultimate goal of development.  Our focus on assistance has saved lives in the short term, but it hasn’t always improved those societies over the long term.  Consider the millions of people who have relied on food assistance for decades.That’s not development, that’s dependence, and it’s a cycle we need to break.  Instead of just managing poverty, we have to offer nations and peoples a path out of poverty.Now, let me be clear, the United States of America has been, and will remain, the global leader in providing assistance.  We will not abandon those who depend on us for life-saving help -- whether it’s food or medicine.We will keep our promises and honor our commitments. In fact, my administration has increased assistance to the least developed countries.  We’re working with partners to finally eradicate polio.  We’re building on the good efforts of my predecessor to continue to increase funds to fight HIV/AIDS, increasing those funds to record levels -- and that includes strengthening our commitment to the Global Fund for AIDS, TB and Malaria.  And we will lead in times of crisis, as we’ve done since the earthquake in Haiti and the floods in Pakistan.But the purpose of development -- what’s needed most right now -- is creating the conditions where assistance is no longer needed.  So we will seek partners who want to build their own capacity to provide for their people.  We will seek development that is sustainable.And building in part on the lessons of the Millennium Challenge Corporation, which has helped countries like El Salvador build rural roads and raise the incomes of its people, we will invest in the capacity of countries that are proving their commitment to development.Remembering the lessons of the Green Revolution, we’re expanding scientific collaboration with other countries and investing in game-changing science and technology to help spark historic leaps in development.For example, instead of just treating HIV/AIDS, we’ve invested in pioneering research to finally develop a way to help millions of women actually prevent themselves from being infected in the first place.Instead of simply handing out food, our food security initiative is helping countries like Guatemala and Rwanda and Bangladesh develop their agriculture and improve crop yields and help farmers get their products to market.Instead of simply delivering medicine, our Global Health Initiative is also helping countries like Mali and Nepal build stronger health systems and better deliver care.  And with financial and technical assistance, we’ll help developing countries embrace the clean energy technologies they need to adapt to climate change and pursue low-carbon growth. In other words, we’re making it clear that we will partner with countries that are willing to take the lead.  Because the days when your development was dictated by foreign capitals must come to an end.  (Applause.)This brings me to a third pillar of our new approach.  To unleash transformational change, we’re putting a new emphasis on the most powerful force the world has ever known for eradicating poverty and creating opportunity.It’s the force that turned South Korea from a recipient of aid to a donor of aid.  It’s the force that has raised living standards from Brazil to India.  And it’s the force that has allowed emerging African countries like Ethiopia and Malawi and Mozambique to defy the odds and make real progress towards achieving the Millennium Development Goals, even as some of their neighbors -- like Cote d’Ivoire -- have lagged.The force I’m speaking about is broad-based economic growth.  Now, every nation will pursue its own path to prosperity.But decades of experience tell us there are certain ingredients upon which sustainable growth and lasting development depends.We know that countries are more likely to prosper when they encourage entrepreneurship; when they invest in their infrastructure; when they expand trade and welcome investment.  So we will partner with countries like Sierra Leone to create business environments that are attractive to investment, that don't scare it away.  We’ll work to break down barriers to regional trade and urge nations to open their markets to developing countries.  We will keep pushing for a Doha Round that is ambitious and balanced --one that works not just for major emerging economies, but for all economies.We also know that countries are more likely to prosper when governments are accountable to their people.So we are leading a global effort to combat corruption, which in many places is the single greatest barrier to prosperity, and which is a profound violation of human rights.  That’s why we now require oil, gas and mining companies that raise capital in the United States to disclose all payments they make to foreign governments.  And it’s why I urged the G20 to put corruption on its agenda and make it harder for corrupt officials to steal from their own people and stifle their nation’s development.The United States will focus our development efforts on countries like Tanzania that promote good governance and democracy; the rule of law and equal administration of justice; transparent institutions with strong civil societies; and respect for human rights.  Because over the long run, democracy and economic growth go hand in hand.We will reach out to countries making transitions from authoritarianism to democracy, and from war to peace.The people of Liberia, for example, show that even after years of war, great progress can be achieved.  And as others show the courage to put war behind them -- including, we hope, in Sudan -- the United States will stand with those who seek to build and sustain peace.We also know that countries are more likely to prosper when they tap the talents of all their people.  And that’s why we’re investing in the health, education and rights of women, and working to empower the next generation of women entrepreneurs and leaders.  Because when mothers and daughters have access to opportunity, that's when economies grow, that's when governance improves. And it’s why we’re partnering with young people, who in many developing countries are more than half the population.  We’re expanding educational exchanges, like the one that brought my father here to America from Kenya.  And we’re helping young entrepreneurs succeed in a global economy.And as the final pillar of our new approach, we will insist on more responsibility -- from ourselves and from others.  We insist on mutual accountability. For our part, we’ll work with Congress to better match our investments with the priorities of our partner countries.  Guided by the evidence, we will invest in programs that work; we’ll end those that don’t.  We need to be big-hearted but also hard-headed in our approach to development.To my fellow donor nations:  Let’s honor our respective commitments.(Applause.) Let’s resolve to put an end to hollow promises that are not kept. Let’s commit to the same transparency that we expect from others.  Let’s move beyond the old, narrow debate over how much money we’re spending, and instead let’s focus on results -- whether we’re actually making improvements in people’s lives. Now,to developing countries, this must be your moment of responsibility as well.  We want you to prosper and succeed -- it is not only in your interest, it is in our interests.  We want to help you realize your aspirations as a nation and the individuals in each of your countries.But there is no substitute for your leadership.  Only you and your people can make the tough choices that will unleash the dynamism of your country.  Only you can make the sustainable investments that improve the health and well-being of your people.  Only you can deliver your nations to a more prosperous and just future.  We can be partners, but ultimately you have to take the lead.      Finally, let me say this.  No one nation can do everything everywhere and still do it well.  To meet our goals, we must be more selective and focus our efforts where we have the best partners and where we can have the greatest impact. And just as this work cannot be done by any one government, it can’t be the work of governments alone.  In fact, foundations and private sector and NGOs are making historic commitments that have redefined what’s possible.And this gives us the opportunity to forge a new division of labor for development in the 21st century.  It’s a division of labor where, instead of so much duplication and inefficiency, governments and multilaterals and NGOs are all working together.  We each do the piece that we do best -- as we’re doing, for example, in support of Ghana’s food security plan, which will help more farmers get more goods to market and earn more money to support their families.       So that’s the progress that’s possible.   Together, we can collaborate in ways unimaginable just a few years ago.  Together, we can realize the future that none of us can achieve alone. Together, we can deliver historic leaps in development.We can do this.  But only if we move forward with the seriousness and sense of common purpose that this moment demands.Development that offers a path out of poverty for that child who deserves better.Development that builds the capacity of countries to deliver the health care and education that their people need.  Development that unleashes broader prosperity and builds the next generation of entrepreneurs and emerging economies.  Development rooted in shared responsibility, mutual accountability and, most of all, concrete results that pull communities and countries from poverty to prosperity.These are the elements of America’s new approach.  This is the work that we can do together.  And this can be our plan -- not simply for meeting our Millennium Development Goals, but for exceeding them, and then sustaining them for generations to come.Thank you very much, everyone.Thank you.  (Applause.) END           5:09 P.M. EDT

Tuesday 21 September 2010

Wapuuzeni wanaodharau sekondari za kata

Na Mwandishi Wetu,Tabora

MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Mohamed Gharib Bilal amewataka wananchi wa mkoa wa Tabora kuwapuuza wanaotoa kauli za bezo dhidi ya mpango wa serikali kujenga shule za sekondari za kata.
 Kauli hiyo ya Mgombea Mwenza huyo, aliyepo katika mikutano ya kampeni katika mikoa ya Kati, aliitoa jana katika mji wa Tabora, ambapo pia alipata fursa ya kuwahutubia mamia ya wananchi waliofurika katika uwanja wa sekondari ya Uyui.
 “Nawaambieni wapuuzeni sana hawa wapinzani wanaotoa kauli tamu tamu ambazo hazitekelezeki. Nawaambieni wana Tabora kuwa hawafai kuchaguliwa na msiwape kura. Haiwezekani kabisa kwa mtu anayetambua maendeleo ya elimu nchini atoe kauli za bezo dhidi ya ujenzi wa shule za sekondari za kata kwa kuziita shule za ‘Yebo Yebo’,” alisema na kuongeza;
 “Asilimia zaidi ya 50 ya wanafunzi wanaofaulu na kuingia vyuo vikuu kwa sasa wanatoka katika shule za kata. Wote hawa wanapatikana baada ya mpango mzuri wa serikali ya CCM kuamua kujenga shule hizi. Kama shule hizi hazingekuwepo vijana hawa wangekuwa wapi?” alihoji huku umati mkubwa ukimshangilia na kumtaka aendelee kuzungumza.
 Dk Bilal ameingia katika mkoa wa Tabora akitokea visiwani Zanzibar ambako huko alipata fursa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM zilizokuwa na lengo la kuzindua kampeni za CCM sambamba na kumtangaza rasmi kwa wananchi  mgombea urais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein.Kabla ya kwenda Zanzibar, Dk Bilal alikuwa mkoani Singida na msafara wake uliungana naye jana mkoani Tabora ambapo alipata pia fursa kufanya mikutano ya kampeni katika wilaya za Igunga na Nzega. Akiwa wilayani Igunga, mgombea mwenza huyo alipata fursa ya kumnadi mgombea ubunge wa CCM Rostam Aziz na akawataka wananchi wa jimbo hilo kumchagua kwa kura nyingi kwa kuwa wanafahamu mambo mbalimbali anayowafanyia katika jimbo hilo.Akiwa katika kijiji cha Ndalla katika wilaya ya Nzega, mgombea huyo pia alimnadi mgombea wa CCM, Dk Hamis Kigwangala huku akisisitiza umuhimu wa wananchi wa jimbo hilo hasa wapenzi wa CCM kuungana katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kukihakikishia chama chao ushindi.Leo mgombea Mwenza huyo anakamilisha mikutano yake ya kampeni katika wilaya ya Urambo na kisha anatarajiwa kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni.

Monday 13 September 2010

Dk Bilal awaasa wasomi nchini


Lindi MGOMBEA mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Dk.Mohamed Bilal amewashauri wasomi kote nchini kuanzisha utamaduni wa kujenga makazi yaliyobora ili taifa liweze kupiga hatua katika sekta ya makazi. Kauli hiyo ya Dk Bilal aliitoa wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Manisapaa ya Lindi ambapo pia alitumia nafasi hiyo kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM, Mohamed Abdulaziz.“Zamani tukisoma chuo kikuu na kuhitimu hatukumudu hata kununua simu. Siku hizi kila mwananchi anayo fursa ya kupata simu. Vijana wetu siku hizi wanahitimu vyiuo vikuu na baada ya mwaka mmoja wanaweza kununua magari. Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa wao kuanza mkakati wa kujenga makazi bora,” alisema na kuongeza; “Tunao mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata makazi bora. Mpango huu upo katika ilani yetu na ni imani yangu kuwa wananchi wakimchagua Rais Kikwete katika uchaguzi ujao, basi itakuwa kazi rahisi kwetu kufanikisha azma hii muhimu katika maendeleo ya wananchi wetu.” Dk Bilalbado anaendelea na kampeni katika mkoa wa Lindi ambapo jana alifanikiwa kufanya kampeni katika wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea. Katika kapmeni hizo, Dk Bilal alisisitiza umuhimu wa wananchi kutambua kuwa serikali ya CCM imejipanga vema na kwamba ina kila sababu za kutaka kuwapa maendeleo zaidi ya hapo walipo. Msomi huyu wa masuala ya Nyuklia alifafanua pia kuwa, serikali ya CCM inatambua kero za barabara zinazoikabili mikoa ya Kusini na kwamba hatua za kukabiliana na hali hiyo zinaonekana kwa kuwa barabara nyingi zinafanyiwa kazi kwa sasa.Pia alisisitiza umuhimu wa wananchi kuchangamkia fursa za Kilimo Kwanza kwa kuhakikisha kuwa wanawatumia wataalam wachache waliopo sambamba na fursa kama mbegu na mbolea zinazohamasishwa na wananchi kutolewa. Tena alifafanua kuwa, anayo taarifa ya kero kuhusu zao la Korosho na akawaeleza wananchi kwamba tiba ya kero hiyo ipo na rais Kikwete ameshafanya kila awezalo kuhakikisha vyama vya ushirika vinaimarishwa sambamba na kuwapa bei bora wakulima wa Korosho.Mgombea Mweza, Dk Bilal alifafanua pia umuhimu wa wazazi kuwajali watoto wao na kuhakikisha wanawapeleka katika shule za awali kwa kuwa ilani ya CCM inatamka wazi kuwa, ifikapo mwaka 2015, kila shule ya Msingi itatakiwa kuwa na shule hizo, hivyo wazazi wachangamkie fursa hiyo iliyopo mbele yao.Sambamba na hilo, gari mmoja lilokuwa ndani ya msafara wa mgombea huyo liliacha njia na kupinduka katika kijiji cha Nangumbo wilaya ya Ruangwa mkoani majira ya saa nne, asubuhi, wakati magari hayo yakiwa katika njia ya kwenda makao makuu ya wilaya ya Ruangwa kwa ajili ya mkutano wa kampeni.Shuhuda wetu aliyekuwepo katika tukio hilo alieleza kuwa, gari hilo lilipata ajari kufuatia vumbi kali liliolosababisha dereva wa gari kutoona mbele huku akitakiwa kupita katika eneo lililo[kuwa na tuta kubwa.Gari hilo lilikuwa na abiria wane, lakini wote walisalimika na baada ya jitihada za kuwatioa katika gari hilo kukamilika, msafara uliendelea kama kawaida.

Kampeni siku ya leo Dodoma

Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokelewa na wanachama na wasanii wa ngoma za asili za Kabila la Wagogo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Dodoma leo Sep 13 kwa ajili ya kuanza ziara yake ya mikutano ya  Kampeni baada ya mapumziko ya sikukuu ya Eid El Fitr, ambapo leo ameanza ziara hiyo katika Kanda ya Kati.( Picha na Muhidin Sufiani)

Wasanii wa Kikundi cha ngoma ya asili cha Maomanyika, wakiwa kwenye uwanja wa Makulu wakati wakimsikiliza Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akifanya mkutano wa Kampeni mkoani Dodoma leo Sept 13.



Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Makulu mjini Dodoma leo Sept 13.

Kampeni Mikoani

Nachingwea














Mtwara

Barabara ya Mtwara - Masasi kujengwa kwa kiwango cha lami mwakani

Tandahimba Mtwara

CHAMA cha Mapinduzi(CCM)kimeahidi kukamilisha ujenzi wa barabara ya Mtwara kupitia wilaya za Tandahimba na Newala na kisha kuungana na ile itokayo Lindi kwenda Masasi kwa kiwango cha lami ifikapo mwakani.Hayo yamesemwa na Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Dk. Mohamed Bilal wakati akihutubia kwa nyakati tofauti katika uwanja wa shule ya Msingi Mtiniko katika Halmashauri ya Mtwara Vijijini na uwanja wa michezo wa Nahyanga wilayani Tandahimba, ambapo pia alipata fursa ya kumnadi Mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia na mgombea ubunge wa Jimbo la Tandahimba, Juma Njwayo .Dk.Bilal alisema chama chake kitakamilisha ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa Km 219 na kuwataka wananchi wa maeneo hayo kuichagua CCM ili iweze kutekeleza kwa vitendo ahadi hiyo.Kujengwa kwa barabara hii kwa kiwango cha lami kutakuwa kunatanua biashara na kazi za kiuchumi katika mkoa wa Mtwara, mkoa ambao katika siku zijazo unaonekana wazi kuwa utageuka kuwa moja ya mikoa ambayo ni kichocheo cha maendeleo ya Tanzania.
“Wananchi wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini na Tandahimba nawaombeni sana mkipe kura za ndiyo CCM ili kiweze kushika dola na ikishashika dola kitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuweza kutekeleza ahadi hiyo ya ujenzi wa barabara hiyo “alisema Bilal na kuongeza kuwa;“Ahadi hii ipo katika ilani ya uchaguzi na taarifa nilizopata ni kuwa fedha za ujenzi wa barabara hiyo zipo na kazi inaendelea. Kama mtakuwa wavumilivu na kutupatia kura katika uchaguzi ujao, ni wazi mtakuwa katika nafasi nzuri ya kuona mafanikio hayo. Hili tunawaahidi na tuna uhakika wa kulikamilisha.”Dk. Bilal pia alifafanua kuwa, katika siku za hivi karibuni na hasa baada ya kuingia madarakani kwa Rais Kikwete, ukanda wa mikoa ya Kusini umebadilika kwa kasi na kwamba uchumi wake unakuwa kwa kasi sana kwa sababu wananchi wa eneo hilo wamekuwa wakilima mazao tofauti ya biashara ambayo yamekuwa yakiwaingizia kipato na taifa kwa ujumla.“Mkoa wa Mtwara ulizoeleka kwa wananchi wake kulima zao la Korosho lakini hivi sasa hali ni tofauti kwani wananchi wake wameanza kulima Mananasi, miti ya Miembe , Choroko na Karanga na Mbaazi,”alisema Dk. Bilal na kushangiliwa na wananchi wa eneo hilo ambao walisikika wakisema barabara hiyo imekuwa ni kikwazo kwao.Hata hivyo msafara wa mgombea huyo uliendelea kusimamishwa na wananchi katika vijiji vya Mbawala Juu, na Manguluwe. Wananchi hao walikuwa wakishinikiza mgombea huyo ashuke katika gari lake ili awasalimie na wao wapate nafasi ya kumueleza kero zao.