MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA 'UNITED BANK OF AFRICA'
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa ‘United Bank Of Africa’ (UBA), Ajobola Abiola (katikati) wakati alipofika Ikulu Dar es Salaam jana ( Mei 5) kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja.
No comments:
Post a Comment