Dr Mohamed Gharib Bilal

Wednesday, 21 September 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MWAKILISHI WA KATIBU WA UMOJA WA MATAIFA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Marta Santos Pais, Mwakilishi maalum wa Katibu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na harakati za kutokomeza unyanyasaji wa watoto, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu ripoti ya unyanyasaji wa watoto inayohusu hali ya Tanzania na inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi hivi karibuni (Jumanne, Septemba 2011.
Posted by Dr Mohamed Gharib Bilal at 05:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ►  2010 (6)
    • ►  September (6)
  • ▼  2011 (64)
    • ►  May (16)
    • ►  June (3)
    • ►  July (7)
    • ►  August (4)
    • ▼  September (11)
      • MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 20 WA MAGAVANA W...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AAGANA NA MABALOZI WA VAT...
      • MAKAMU WA RAIS AWAFARIJI WALIOPOTELEWA NA NDUGU KA...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA JENGO LA MIHADHAR...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MWAKILISHI WA ...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKU...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI UTIAJI SAINI ...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KITABU CHA ‘QUANT...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAI...
      • MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AUNGURUMA KATIKA MAADHIMI...
      • MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA MAE...
    • ►  October (6)
    • ►  November (12)
    • ►  December (5)
  • ►  2012 (34)
    • ►  January (3)
    • ►  February (7)
    • ►  March (4)
    • ►  April (9)
    • ►  May (6)
    • ►  June (1)
    • ►  July (4)

About Me

Dr Mohamed Gharib Bilal
Dar es salaam, Tanzania
EDUCATION Dr. Bilal attended primary school in Makunduchi where he completed in 1958. He joined secondary education at Beit – El- Ras in Zanzibar Town in 1959 and completed in 1962. In 1963 he went to Lumumba secondary school for ‘A’ level studies but after few months he secured a scholarship to study at Howard University in United States of America. At Howard he studied Physics and Mathematics. He graduated in 1967 and joined the University of California at Berkeley Campus for Post Graduate studies and obtained M.A in Physics in 1969. While at Berkeley he also took a teaching post as Teaching Assistant. Later he became Research Assistant while pursuing his Doctoral studies. He successfully completed his studies in 1976 and was conferred with a Degree of Doctor of Philosophy (PhD) in Physics.
View my complete profile
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.