Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam, Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment