Wednesday, 18 January 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ABORT FUND IKULU DSM LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment