Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa TBC, David Wakati, alipofika nyumbani kwa marehemu huyo Oysterbay jijini Dar es Salaam jana Desemba 2, kwa ajili ya kutoa mkono wa pole. Marehemu Wakati alifariki juzi jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment