Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tangu kilipoanzishwa mwaka 1961. Sherehe hizo zimefanyika leo Oktoba 22, katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu jijini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Kitivo cha Sheria, baada ya kutoa tuzo kwa baadhi ya wanafunzi wa zamani wa Taaluma ya Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment