Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha ‘Quantum
Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati wa hafla
hiyo ya uzinduzi iliyofanyika Septemba 22, katika Ukumbi wa Chuo
cha DIT, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati) Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame
Mbarawa (wapili kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Charles Kitwanga (wapili kulia) Prof. John Kondoro mtunzi
wa kitabu cha ‘Quantum Machenics’ na Makamu Mkuu wa Chuo cha DIT, Prof.
Christian Nyahumwa (kushoto) wote kwa pamoja wakifurahia baada ya
Makamu kuzindua kitabu hicho, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Chuo cha DIT, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment